All Episodes

July 9, 2025 2 mins

Christopher Maurice Brown  Aka Chris brown Ameachiwa Kutoka Jela Na Mahakama Ya Jijini London Kwa Dhamana Ya Euro Millioni Tano (Tsh 16 Bilion), Baada Ya Kukutwa Mashtaka Ya Shambilio la Kimwili Mnamo Mwaka 2023 Katika Club Moja Ya Usiku Nchini Uingereza.

Msanii Huyo Wa R&B Alishitakiwa Kwa Kosa la Kumshambulia Na Chupa Mtayarishaji Wa Muziki Aneajulikana Kama Hoody Baby, Mnamo Feb 19, Mwaka 2023, Katika Klabu Ya Usiku Inayojulikana Kama 'Tape London' Iliopo Jijini London , Wilaya Ya Mayfair, Nchini Uingereza.

Chris Brown Alikamatwa May 5, 2025. Katika Jiji La Manchester Wakati Akiwa Kwenye Maandalizi Ya Tour Yake Ya 'The Breezy Bowl Tour', Hivyo Mahakama Ya London Imemuachia Chris brown Kwa Dhamana Hiyo Ilikuendelea Na Tour Yake, Huku Jaji Tony Baumgartner, Akimtaka Mr. Brown Kuzingatia Sheria Kali Alizopewa Kama Kukabidhi Passport Kwenye Mamlaka Husika, Anapokua Hajihusishi na Shughuri Yoyote Ya Tour Yake Na Hatorusiwa Kuwa Karibu Na Club Hiyo Ya Tape London.

Pamoja Na Breezy Kukutwa Na Mashtaka Hayo  'The Breezy Bowl Tour' Itakuwepo Na Itaanza Juni 8, Amsterdam, Huko Uholanzi Ikifatia Ujerumani, Na Kuendelea Nchi Nyingine Za Ulaya Kama Ureno, Ufaransa, Na Ireland, Mara Baada Ya Kesi Yake Itayosikilizwa Tena June 20 Katika Mahakama Ya Southwark Crown Uingereza.


Pia Kuna Wasanii Kadhaa Kama Rapper 50 Cent, Justin Bieber na wengine Wameonesha Upendo Kwenye Mitandao Yao Ya Kijamii Kwa Hatua Hiyo Ya Chris Kuachiwa Ili Kuendelea Na Kazi Zake.

Mark as Played

Advertise With Us

Popular Podcasts

Crime Junkie

Crime Junkie

Does hearing about a true crime case always leave you scouring the internet for the truth behind the story? Dive into your next mystery with Crime Junkie. Every Monday, join your host Ashley Flowers as she unravels all the details of infamous and underreported true crime cases with her best friend Brit Prawat. From cold cases to missing persons and heroes in our community who seek justice, Crime Junkie is your destination for theories and stories you won’t hear anywhere else. Whether you're a seasoned true crime enthusiast or new to the genre, you'll find yourself on the edge of your seat awaiting a new episode every Monday. If you can never get enough true crime... Congratulations, you’ve found your people. Follow to join a community of Crime Junkies! Crime Junkie is presented by audiochuck Media Company.

24/7 News: The Latest

24/7 News: The Latest

The latest news in 4 minutes updated every hour, every day.

Stuff You Should Know

Stuff You Should Know

If you've ever wanted to know about champagne, satanism, the Stonewall Uprising, chaos theory, LSD, El Nino, true crime and Rosa Parks, then look no further. Josh and Chuck have you covered.

Music, radio and podcasts, all free. Listen online or download the iHeart App.

Connect

© 2025 iHeartMedia, Inc.