Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
Karibu usikilize kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambapo Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania anazungumza juu ya thamani ya ukombozi wetu. Mimi ni Mtangazaji wako Joyce Jonatus.
L'articolo Je, unaifahamu thamani ya ukombozi wetu? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha maswali yahusuyo imani, kipindi kinaandaliwa na waseminari kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea Frateri Yakobo Malemu Chagu kutoka Parokia ya Bukundi, Jimbo Katoliki Shinyanga anajibu swali linalohoji hivi; Kipindi cha Pasaka kinadumu kwa siku ngapi? limeulizwa na Calvin Jeremiah Mponzi kutoka Jimbo Katoliki Shinyanga . Mtangazaji […]
L'articolo Je, kipindi cha Pas...
Karibu katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, mtaalamu na mwanasheria za kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, anafundisha kuhusu Utaratibu wa kufunga ndoa za kikatoliki ambayo ni sheria namba 1108 – 1123. Mtanagazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Je unafahamu utaratibu wa kufunga ndoa za kikatoliki? proviene da Radio Maria.
Karibu usikilize kipindi cha Ujumbe wa Biblia ambapo Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu anayefanya utume Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, akizungumzia mambo yanayoleta furaha katika ndoa.
L'articolo Fahamu mambo yanayoleta furaha katika ndoa. proviene da Radio Maria.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi. Grace Shayo na Bi. Janeth […]
L'articolo Je, unafahamu umuhimu wa malezi ya watoto katika familia? proviene da Radio Maria.
Ni kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, tunapata mafundisho ya imani ya kanisa Katoliki kutoka kwa Baba zetu wa kiroho, hapa Pdre Leonard Maliva, Paroko wa Paroka ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa anaendelea kufundisha kuhusu ujumbe wa Jubilei Kuu 2025. Mimi ni mtangazaji wako Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu ujumbe wa Jubilei kuu unavyojieleza katika nembo yake proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga – Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa walei Jimbo Katoliki Iringa, anaendelea kufundisha juu ya Ujumbe wa Jubilei 2025, akiangazia ujumbe huu unavyojieleza kwenye nembo yake. Mtangazaji ni Esther Magai Hangu
L'articolo Je unaifahamu nembo ya Jubilei Kuu 2025? proviene da Radio Maria.
“Je! Cheo cha Ukardinal kimetoka wapi na kina maana gani?”, Hili ni swali ambalo linajibiwa katika kipindi hiki cha Maswali Yahusuyo Imani. Karibu uungane na Fratel Benedict Luvanga kutoka Chuo Kikuu cha Kikatoliki Ruaha, Jimbo la Iringa ili upate majibu ya kina.
L'articolo Je, Unafahamu Cheo cha Ukardinal kimetoka wapi na kina maana gani? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane na Fratel Amos Alexander Bwibonela, kutoka Seminari kuu ya Kitaifa ya Familia Takatifu, iliyopo Mwendakulima Jimbo Katoliki Kahama, katika Kipindi cha Mbiu ya Heri, Ambapo anazungumzia juu Sakrament ya Kitubio.
L'articolo Karibu upate mafundisho juu ya Sakrament ya Kitubio. proviene da Radio Maria.
Karibu msikilizaji usikilize kipindi cha Kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambapo Sista Anagradiness Mrumah, ambaye ni Katibu wa Shirika la Utoto Mtakatifu Taifa, anazungumzia mada juu ya “Heshima ya mtoto huchotwa kutoka mzazi”. Mimi ni mtangazaji wako Happiness Mlewa. Karibu sana Mzazi mwenzangu.
L'articolo Je! wafahamu kuwa heshima ya mtoto huchotwa kutoka kwa mzazi? proviene da Radio Maria.
Msikilizaji mpendwa karibu uungane nami Happiness Mlewa, kwenye kipindi cha Katekisimu Katoliki Shiriki, ambapo Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Ismani, na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo la Iringa, anatoa mafundisho juu la Alama katika nembo ya Jubilei kuu 2025. Karibu
L'articolo Fahamu maana ya Alama katika Nembo ya Jubilei kuu 2025 proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happines Mlewa katika kipindi cha Katekisimu shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, tukiangazia juu ya Mama wa Matumaini.
L'articolo Je, unafahamu kuwa Mama Bikira Maria ni Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Agatha Kisimba katika kipindi cha Katekisimu Katoliki shirikishi, leo tutakuwa naDeodatus Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera akitufundisha juu ya Matumaini na Mama yetu Maria.
L'articolo Fahamu sifa ya matumaini ya Bikira Maria. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Esther Magai katika kipindi cha Katekisimu Shirikishi, Studio nipo na Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya Matumaini katika Kutoa.
L'articolo Je, unafahamu matumaini katika utoaji? proviene da Radio Maria.
karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa Walei, leo tutakuwa na mwezeshaji wetu, Gordon Rwenyagira, Mjumbe wa Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Dar es Salaam, akitufundisha namna ya kupata kiongozi wa Kanisa.
L'articolo Je, unafahamu njia bora ya kuchagua viongozi wa Kanisa? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino, Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, Frateri Likana Nyagabona ndiye anayetuunganisha na Mafrateri wenzake kutolea ufafanuzi kwa maswali yaliyoulizwa na msikilizaji, moja ya maswali hayo ni kwanini Papa huitwa Baba Mtakatifu angali yu hai? Mimi ni Esther Magai Hangu, ninakualika kwa niaba ya […]
L'articolo Kwanini Papa huitwa Baba Mtakatifu a...
Karibu katika kipindi cha Tumsifu Mama Maria, Mwezeshaji ni Padre Fabian Ngeleja, Paroko wa Parokia za Nyamanoro na Tarazo Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, anaendelea kufundisha juu ya uzuri wa Mama Maria, akiangazia uzuri namba tatu unaosema Bikira Mama shauri zuri la wanadamu. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu proviene da Radio Maria.
Karibu tuungane na jirani zetu Radio Tumaini katika kipindi Ijue Liturujia ya Kanisa Katoliki, Mwezeshaji ni Padre Dr. Clement Kihiyo Katibu mtendaji Idara ya Liturujia kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzaia (T.E.C) anafundisha kuhusu baraka ya wazazi kabla ya kuzaliwa watoto. Mtangazaji wako ni Valeria Mwalongo – studio za Radio Tumaini Msimamizi wa matangazo ni […]
L'articolo Fahamu Baraka ya wazazi kabla ya kuzaliwa mtoto pr...
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Padre Dominic Mavula C.PP.S na Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria, anaendelea kutoa mafundisho kuhusu kuufariji Moyo Mtakatifu. Mimi ni Esther Magai Hangu, ninakualika kwa niaba ya Padre Dominic.
L'articolo Fahamu vipaumbele vinavyokusudiwa katika kuufariji Moyo Mtakatifu wa Yesu proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha katekisimu katoliki shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S na MkurugenzI wa matangazo Radio Maria Tanzania anaendelea kutoa mafundisho juu ya Ekaristi Takatifu, Kukualika kwa niaba yake, mimi ni Esther Magai Hangu
L'articolo Ekaristi Takatifu ni kilele cha uzima wetu proviene da Radio Maria.
If you've ever wanted to know about champagne, satanism, the Stonewall Uprising, chaos theory, LSD, El Nino, true crime and Rosa Parks, then look no further. Josh and Chuck have you covered.
Current and classic episodes, featuring compelling true-crime mysteries, powerful documentaries and in-depth investigations. Follow now to get the latest episodes of Dateline NBC completely free, or subscribe to Dateline Premium for ad-free listening and exclusive bonus content: DatelinePremium.com
The World's Most Dangerous Morning Show, The Breakfast Club, With DJ Envy, Jess Hilarious, And Charlamagne Tha God!
The Clay Travis and Buck Sexton Show. Clay Travis and Buck Sexton tackle the biggest stories in news, politics and current events with intelligence and humor. From the border crisis, to the madness of cancel culture and far-left missteps, Clay and Buck guide listeners through the latest headlines and hot topics with fun and entertaining conversations and opinions.
Latino USA is the longest-running news and culture radio program in the U.S. centering Latino stories, hosted by Pulitzer Prize winning journalist Maria Hinojosa Every week, the Peabody winning team brings you revealing, in-depth stories about what’s in the hearts and minds of Latinos and their impact on the world. Want to support our independent journalism? Join Futuro+ for exclusive episodes, sneak peaks and behind-the-scenes chisme on Latino USA and all our podcasts. www.futuromediagroup.org/joinplus