Doctor Rafiki Afrika

Doctor Rafiki Afrika

Habari, Kwa majina naitwa Dr. Julieth Sebba, MD. Ni daktari na mtafiti katika sekta ya afya Tanzania. Ungana nami kila wiki, nikikushirikisha maarifa mbalimbali katika kuboresha afya yako, afya ya familia yako na jamii kiujumla.

Episodes

June 5, 2024 18 mins

Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki, tukiangazia juu ya mambo kadhaa ya kufahamu kuhusu 'Uchangiaji wa Damu' kwenye vituo vya Afya au kampeni za uchangiaji damu zinazoandaliwa na mashirika mbalimbali Tanzania.

Mark as Played

Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki kusikiliza na kujifunza kuhusu lishe kwa wagonjwa wa kisukari. Ungana nami Doctor Juliet Sebba pamoja na Doctor Martha Kungu. Karibu sana

Mark as Played
May 21, 2024 13 mins

Fahamu kwa kina kuhusu lishe kwa wagonjwa wa moyo na presha na Dr. Juliet Sebba na Dr. Martha Kungu

Mark as Played
May 15, 2024 19 mins

Karibu kusikiliza podcast mpya na Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni, Doctor Martha Kungu kutoka 'Afya Passion Clini' tukizungumzia kuhusu sonona na msongo wa mawazo maofisini au afya ya akili katika maeneo ya kazi.

Mark as Played

Karibu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako. 

Mark as Played

Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja tunaenda kuzungumzia changamoto za mwili zinazoweza kutokea baada ya chanjo na jinsi ya kukabiliana nazo. 

Mark as Played
April 25, 2024 16 mins

Habari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu kusikiliza na kujifunza pia 

 

Usisite kutuandikia swali na maoni yako kuhusu podcast zetu.

Mark as Played
April 17, 2024 7 mins

Fuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU

Mark as Played

Karibu kwenye episode ya leo ndani ya Doctor Rafiki Podcast tukiwa tunaangazia zaidi juu ya haki zako msingi unapokwenda kupata huduma za Afya katika kituo cha Afya au kupitia watoa huduma katika Jamii. Ungana nami Dr. Juliet Sebba, MD.

Mark as Played

Siku ya Afya Duniani tarehe 7 April 2024 ina kauli mbiu ya "Afya yangu, Haki Yangu". Mada ya mwaka huu ilichaguliwa ili kuwa bingwa wa haki kwa kila mtu kila mahali katika kupata huduma bora za afya, maji safi ya kunywa, hewa safi, lishe bora, makazi bora na mazingira bora. Karibu ujumuike nami daktari wako - Doctor Rafiki

Kwa maulizo: Wasiliana nasi

Email: dr.rafikiafrica@gmail.com

Mark as Played
April 3, 2024 7 mins

Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.

Mark as Played

Popular Podcasts

    Current and classic episodes, featuring compelling true-crime mysteries, powerful documentaries and in-depth investigations.

    Stuff You Should Know

    If you've ever wanted to know about champagne, satanism, the Stonewall Uprising, chaos theory, LSD, El Nino, true crime and Rosa Parks, then look no further. Josh and Chuck have you covered.

    The Nikki Glaser Podcast

    Every week comedian and infamous roaster Nikki Glaser provides a fun, fast-paced, and brutally honest look into current pop-culture and her own personal life.

    White Devil

    Shootings are not unusual in Belize. Shootings of cops are. When a wealthy woman – part of one of the most powerful families in Belize – is found on a pier late at night, next to a body, it becomes the country’s biggest news story in a generation. New episodes every Monday!

    Start Here

    A straightforward look at the day's top news in 20 minutes. Powered by ABC News. Hosted by Brad Mielke.

Advertise With Us
Music, radio and podcasts, all free. Listen online or download the iHeart App.

Connect

© 2024 iHeartMedia, Inc.