Ifahamu Corona - Anatomy of Corona

Ifahamu Corona - Anatomy of Corona

Ifahamu Corona - Anatomy of Corona tells the facts about the coronavirus. The series of programmes is produced by Vikes – Finnish Foundation for Media and Development, Tanzania Development Information Organization (TADIO), Finnish Evangelical Lutheran Mission (Felm) and the Ministry of Health of Tanzania. Original concept: Antti Merilehto.

Episodes

April 24, 2020 21 mins
Kwenye kipindi cha nne cha Ifahamu Corona tutasikia matarajio ya wataalmu juu ya athari za virusi vya corona kwa jamii. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr.i Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu hali ya corona duniani na tunatakiwa tufanye nini sasa hi...
Mark as Played
Kwenye kipindi cha tatu cha Ifahamu Corona tutasikia kundi gani lipo hatarini zaidi kupata virusi vya corona na kuhusu karantini. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu magonjwa ambao yanaweza kukuweka kwenye hatari y...
Mark as Played
Kwenye kipindi cha pili cha Ifahamu Corona tutasikia zaidi kuhusu virusi vya corona. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu kusambaa kwa virusi vya corona na jinsi ya kujikinga navyo.

In the second episode of Anatomy o...
Mark as Played
Kwenye kipindi cha kwanza cha Ifahamu Corona tutasikia ukweli kuhusu virusi vya corona. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu chanzo cha virusi vya corona, mwenendo wake na kujibu kwa mfano swali hili kubwa: Haya mar...
Mark as Played

Popular Podcasts

    Current and classic episodes, featuring compelling true-crime mysteries, powerful documentaries and in-depth investigations.

    Death, Sex & Money

    Anna Sale explores the big questions and hard choices that are often left out of polite conversation.

    Stuff You Should Know

    If you've ever wanted to know about champagne, satanism, the Stonewall Uprising, chaos theory, LSD, El Nino, true crime and Rosa Parks, then look no further. Josh and Chuck have you covered.

    Crime Junkie

    If you can never get enough true crime... Congratulations, you’ve found your people.

    Start Here

    A straightforward look at the day's top news in 20 minutes. Powered by ABC News. Hosted by Brad Mielke.

Advertise With Us
Music, radio and podcasts, all free. Listen online or download the iHeart App.

Connect

© 2024 iHeartMedia, Inc.